Mapishi na video

Nr. 1 East African Cooking Site

Nawaonyesha mapishi matamu duniani.

Tovuti hii ni kwa ajili ya wale wote wanaopenda kupika ama kujifunza aina mbalimbali ya vyakula duniani. Pia utaweza kuona picha, video na maelezo yote ya kupika vyakula hivyo. Matumaini yetu utafurahia na tupike pamoja.


We show you international delicious recipes.

This web is for people who likes cooking and learn about international food. So, you can watch pics and videos with explanations of how to cook the recipes. We hope you enjoy cooking with us.

Our Videorecipes

Chagua pishi unalopenda | Choose the video-recipes you like


Follow UsSwahili na Waswahili

swahilinawaswahili.blogspot.com

Karibuni sana waungwana kwenye kibaraza hiki cha Swahili na Waswahili. Zaidi; Jamii/Tamaduni za waswahili. Wapendao kujifunza ya waswahili na marafiki wa swahili na waswahili. Na mengineyo ambayo si ya waswahili/kiswahili yahitajikayo kujuzwa waswahili.

4aSmile

4asmile.net

We have established a common platform for NGO's, CSO's, charities and all other organizations who are active on the South Coast to support the Kenyan people.

Matukio UK

matukiouk.blogspot.com

Kiwanja cha matukio na maraha Tanzania, uingereza na duniani kote.